Usimamizi wa wilaya, halmashauri, shule, watumiaji na matokeo kwa urahisi na ufanisi mkubwa kwa taasisi za Serikali.
Usimamizi wa watumiaji kulingana na majukumu yao.
Kusajili na kusimamia ngazi zote za mkoa kwa urahisi.
Kuingiza, kuangalia na kudownload matokeo rasmi.
Uchambuzi wa matokeo kwa ngazi ya wilaya na mkoa.
Badilisha mipangilio na kuratibu mfumo wa taasisi.